Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
Ni Athuman Kapuya Foundation, taasisi ya mwanaCCM Athuman Kapuya ambaye amewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kaliua Tabora, waziri mwandamizi ndani ya serikali chini ya CCM...
Leo imeamuriwa na RC wa...
Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Mbunge Twaha Mpembenwe: Watumishi Wengi Serikalini Wanalipwa Mishahara Midogo
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is...
Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi.
Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.