Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
Morning members.
Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi.
Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Na nawaambieni mapema kama ambavyo ANC huko Afrika Kusini ilivyopoteza Viti vingi vya Ubunge na hawaamini ndivyo ambavyo itakuwa hivyo hivyo kwa CCM hapo Mwakani kwa Kupoteza Viti vingi vya Ubunge...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.