TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI
📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati
📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 Hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha HUMAN RESOURCES MANAGEMENT...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com
SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN
Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995.
Niko Tanga.
Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbali mbali anyone who is interested...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL...
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.