Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
2 Reactions
19 Replies
20 Views
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Haya ni mambo yana fikirisha kidogo, kipindi cha shujaa wa africa kipenzi cha wana Hayati Magufuli . Wananchi walikuwa wakifurika na kutoa malalamiko ya kero zao mbali mbali tofauti tofauti na...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue...
5 Reactions
47 Replies
443 Views
Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya...
86 Reactions
233 Replies
24K Views
Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni Chonde...
5 Reactions
44 Replies
381 Views
Well Gamondi and Yanga part away. it's over. Yanga will have a new manager next season as tonight: Gamondi refused a long term contract Gamondi is still in contact with other big teams...
2 Reactions
17 Replies
499 Views
KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..? Sikiliza ndugu, PRESSURE...
2 Reactions
5 Replies
84 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,319
Posts
49,798,498
Back
Top Bottom