Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI 📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati 📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
1 Reactions
3 Replies
42 Views
Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Hii picha imenichekesha sana 🤣. Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana? Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
23 Reactions
96 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbali mbali anyone who is interested...
3 Reactions
6 Replies
26 Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
6 Reactions
113 Replies
3K Views
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
1 Reactions
7 Replies
85 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo utafiti mpya uliofanywa na Dr. Kat Bohannon (PhD) wa Columbia University nchini Marekani umebani kuwa mwanaume na viumbe wa jinsia ya kiume jamii ya mamalia...
4 Reactions
27 Replies
712 Views
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na...
0 Reactions
1 Replies
16 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,216
Posts
49,795,415
Back
Top Bottom