Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
8 Reactions
183 Replies
1K Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
44 Reactions
149 Replies
4K Views
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda. Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari... Mwanaume au mwanamke ambae ndoa yako ilivunjika ikiwa bado unampenda mwenza wako...na ilishindikana kurudiana...pia mna watoto. Uliwezaje ku move on?.....
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
2 Reactions
15 Replies
148 Views
Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla. Leo naongoe na...
10 Reactions
25 Replies
260 Views
Faida za kwenda advanced???
6 Reactions
42 Replies
583 Views
KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..? Sikiliza ndugu, PRESSURE...
4 Reactions
8 Replies
106 Views
Pichani Madonna na mtoto wake Banda aliye mchukua kwenye kituo cha watoto yatima nchini Malawi Akiwa na miezi 13 sasa amekuwa kijana mkubwa.
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
7 Reactions
89 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,332
Posts
49,799,050
Back
Top Bottom