Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tecno skuizi kama hawapo vile Ila wana vitu harari Kimya Kimya, mda mrefu Redmi zimekuwa zikisifiwa sna Ila huyu mwamba hasikiki Wametoa Toleo Lao jipya camon 30 naona wamebadilika SANA Camera...
0 Reactions
11 Replies
239 Views
MOSHI YETU SAAFIIIIII SAANAAAA TUTALIFANYA ZOEZI LETU KUWA ENDELEVU KILA MARA KUJENGA TABIA HII NJEMA YA KUCHANGIA DAMU, NA HAYA NI MALENGO ENDELEVU YA GROUP KUFANYA MAMBO MBALIMBALI YA...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
16 Reactions
163 Replies
2K Views
Ni kweli bado hakijaeleweka. Kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama bado hajamwaga saini ya kuendelea kubali Simba baada ya mabosi wa Msimbazi kushindwa kumtekelezea mahitaji aliyowasilisha...
5 Reactions
22 Replies
286 Views
Ndinga Hilo Gari ipo vizuri sana Gari ya mwaka 2022. PRICE/BEI: 122M EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅ FORD RANGER STORM TRACK 🛻 Year:2022 Engine Capacity:2.0cc Engine: DIESEL TURBO Kilometer...
2 Reactions
22 Replies
705 Views
Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo...
5 Reactions
54 Replies
707 Views
Heri ya pasaka wakuu Kwa mujibu wa shirika la takwimu la taifa (NBS),mkoa wa Kagera unaongoza kitaifa kwa wananchi wake kutumia vyoo visivyo bora kwa Zaidi ya 60% Hii ni Hali mbaya sana kwani vyoo...
6 Reactions
98 Replies
2K Views
SI MBAYA KUULIZAAAA NIMEWAZAA TU KAMAAA HAYA MAKAMPUNI YA SIMU YANAKOPWA NA JESCA AMA BETTY GAFLAAAAAA MM NATUMIWA MSG NA HAYA MAKAMPUNI YA KUKOPAAAA ATI NDUGU AMA MFADHILI WA BETTY UNAOMBWA...
0 Reactions
1 Replies
4 Views
Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote. TATIZO: Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima...
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Habari waungwana. Nimekuja hapa nikiwa na swali moja Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI Ila Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI. Cheti...
0 Reactions
6 Replies
140 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,228
Posts
49,795,703
Back
Top Bottom