Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sababu zilifanya mimi kuwa mkristo ni Wakristo kuamini watu wote ni wa Mungu bila kujali DINI, KABILA, UTAJIRI nk..... Wakristo wanaamini njoo kama ulivyo Yesu bado anakupenda. Hii ni kwamba...
2 Reactions
7 Replies
122 Views
Wazee kwani ni nani anawashauri viongozi Wa Afrika.!? Embu fikirieni Rais anapanda ndege na Cabinet yake... Naposema Cabinet simaanishi baraza la Mawaziri ..namaanisha wale anaohisi waende nae...
2 Reactions
7 Replies
8 Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
8 Reactions
105 Replies
1K Views
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anangโ€™aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
7 Reactions
22 Replies
337 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni Chonde...
3 Reactions
19 Replies
30 Views
๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri...
79 Reactions
257 Replies
13K Views
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya...
83 Reactions
231 Replies
24K Views
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja. Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu, Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used. Vipaumbele vyangu ni; 1. Battery nzuri at least...
5 Reactions
120 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,311
Posts
49,798,300
Back
Top Bottom