Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
12 Reactions
35 Replies
456 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake. Mambo yaleyale...
3 Reactions
4 Replies
58 Views
Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
9 Reactions
40 Replies
441 Views
Wakuu habarini za wakati huu natumahi muu wazima wa Afya me upande wangu me ni mzima kabisa.. Moja kwa moja naomba mnipe ushauri nina mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ila...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu. Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi Dhuluma na ujanja ujanja...
2 Reactions
11 Replies
240 Views
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na...
3 Reactions
10 Replies
488 Views
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, unaweza kutoa 50 ukaambiwa ni kadeti og lakini vaa sasa uone, wizi mtupu !! walioweza...
0 Reactions
0 Replies
7 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995. Niko Tanga. Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
3 Reactions
18 Replies
271 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,255
Posts
49,796,463
Back
Top Bottom