Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla.
Leo naongoe na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la...
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.