Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbaya zaidi anajikuna katikati ya mfereji. Halafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga. Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
8 Reactions
25 Replies
138 Views
Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
10 Reactions
45 Replies
494 Views
Katika huduma ambayo inazidi kuwa ghali na inachukua maisha ya watu wengi ni ukosefu wa huduma bora za afya Wakati mwingine watu hupoteza maisha si kwa kutokuwepo kwa madawa au wataalamu wa afya...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya bar? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha tv 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
1 Reactions
3 Replies
31 Views
Tukio la kushambuliwa Kwa risasi gari alilokuwemo Mbunge Ole Sendeka, ni baya mno na linafaa Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi ili kuwabaini waliotenda uovu huo. Hata hivyo Kwa taarifa...
3 Reactions
10 Replies
581 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
0 Reactions
8 Replies
14 Views
TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI 📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati 📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
3 Reactions
15 Replies
174 Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
2 Reactions
19 Replies
113 Views
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la...
1 Reactions
16 Replies
326 Views
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
44 Reactions
165 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,265
Posts
49,797,041
Back
Top Bottom