Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana...
Nina 800k kama akiba imekaa TU, Kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua Sasa wakuu nimebaki na hii 800k nahitaji kuizalisha nifanye Nini kwa hiki kidogo nilicho nacho...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.