Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Group limeundwa na watu wa dawasa wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh Waziri anahangaika huku na kule lkn wadawasa wachache wanafanya masihala na maisha ya wananchi. .Rais...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
2 Reactions
26 Replies
331 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
11 Reactions
178 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Nissan Dualis ipo sokoni inaenda kwa Tsh mil 15 Mwaka 2009 CC 1990 Km 90k Haina kipengele Location Dar es Salaam-Tabata Simu ziite ndugu zangu 0752463715 0776363230 Biashara...
0 Reactions
3 Replies
259 Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
1 Reactions
63 Replies
935 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
26 Reactions
83 Replies
2K Views
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
4 Reactions
28 Replies
191 Views
Kwa yanayo endelea kwa sisi waafrika weusi na nchi zetu. Bahati mbaya zamani niliwa tafsiri vibaya Morocco kutukataa sisi ila sasa nimeelewa. Nakiri Morocco walikuwa sahihi sana kutukataa sisi...
0 Reactions
2 Replies
58 Views
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China. Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya...
2 Reactions
7 Replies
129 Views
Ulijiskiaje? Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary. Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja...
1 Reactions
5 Replies
60 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,245
Posts
49,796,211
Back
Top Bottom