Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
3 Reactions
58 Replies
649 Views
Far Left/Progressive/Fanatics ni kundi la watu wabovu sana. Kwa nchi kama Marekani chama cha Democrat ni mfano wa watu wa mrengo wa kushoto. Watu hawa ndio wana harakati wa mambo machache...
4 Reactions
14 Replies
269 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
11 Reactions
37 Replies
709 Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
2 Reactions
14 Replies
79 Views
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake. Mambo yaleyale...
6 Reactions
21 Replies
177 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS...
13 Reactions
239 Replies
23K Views
Location : Magomeni contact: 0697224996
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
59 Reactions
325 Replies
22K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,260
Posts
49,796,748
Back
Top Bottom