Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
James Mbowe amesema Demokrasia ya Chadema ni kubwa sana ndio sababu mchungaji Msigwa ameweza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwashutumu viongozi wenzake bila kuwa na ushahidi wowote
Mbowe amesema...
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana...
Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha...
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
Mbaya zaidi anajikuna katikati ya mfereji. Halafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga.
Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.