Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo Msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo: Sqm 135.73
Nyaraka: Ina leseni ya makazi.
Bei: Milioni 75
Karibu sana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.