Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Kuna kitoto nilikiona hapa mtwara, siku moja kabla ya juzi nikakielewa sana ila sikufanya chochote kwa sababu siku hiyo wakati napita hapo nyumbani kwao na hicho kitoto, nilikuwa na kitoto...
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo
Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa...
Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri.
Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.