Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeshangaa siruhusiwi kureply wala kukoment chochote kwenye uzi Muungano: VP na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize Kinyemela Option ninayoruhusiwa ni ku- like tu,
2 Reactions
33 Replies
269 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Mimi naikubali hii Pig Black ft Ay - Mtoto wa mjini
5 Reactions
417 Replies
44K Views
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
22 Reactions
109 Replies
3K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
6 Reactions
1K Replies
32K Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
21 Reactions
198 Replies
3K Views
Name : XX Age : 23 gender : MALE Academy. : CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN Professional : DRIVER/VETA,,NIT,,RFC,,JKT,,PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS,, experience : PASTA INDUSTRY, NIDA,SUMA...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
14 Reactions
63 Replies
201 Views
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
17 Reactions
53 Replies
438 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,005
Posts
49,791,002
Back
Top Bottom