Habari za humu wanajamii,ni kwa muda sasa huwa ninamfatilia huyu mchungaju wa kkkt ushirika wa kijitonyama Mchungaji Kimaro,hadi kuna muda niliwahi kushawishika kwenda kanisani kwake.
Sasa katika...
Habari Mabibi na Mabwana.
Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.
Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko.
Hivi...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
Ulijiskiaje?
Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary...
Darasani kwenye lectures, seminars, presentation, group discussions etc hujawahi kukosa hata siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.