Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani. Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
6 Reactions
35 Replies
563 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
simba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended. gamondi is yet to make decisions. 🤔 😂😂
0 Reactions
5 Replies
8 Views
Karibuni St Marcus Schools,shule inapatikana Iwambi mkoani Mbeya
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
13 Reactions
39 Replies
535 Views
Embu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio...
3 Reactions
22 Replies
245 Views
  • Suggestion
Utangulizi. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzia mwaka 1962, wakati Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza. Katiba ya kwanza ya Tanganyika ilipitishwa mwaka 1962 na ilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
17 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
21 Reactions
221 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,071
Posts
49,792,652
Back
Top Bottom