Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
49 Reactions
159 Replies
4K Views
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi...
41 Reactions
136 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
24 Reactions
100 Replies
2K Views
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana. JF ni ukweli na huakika siku zote, Ndugu zangu binafsi bado...
0 Reactions
2 Replies
27 Views
97% of Countries Will Soon Be Unable to Sustain Populations as Fertility Rates Drop Story at a glance A report published in The Lancet predicts that by 2100, the global infertility problem will...
0 Reactions
3 Replies
101 Views
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu, Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used. Vipaumbele vyangu ni; 1. Battery nzuri at least...
5 Reactions
112 Replies
8K Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
3 Reactions
30 Replies
717 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Habar wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza mil 70 inatosha kufungua pharmacy ya jumla location dodoma
0 Reactions
0 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,109
Posts
49,793,368
Back
Top Bottom