Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu, nahitaji ushauri, Mimi ni binti nimeolewa naishi na familia, mume wangu pamoja na mdogo wangu wa kike. Tatizo ni kwamba mume wangu amekuwa na kisirani sana juu ya huyu mdogo wangu...
23 Reactions
402 Replies
17K Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
5 Reactions
80 Replies
887 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote. Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Habarini! Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
18 Reactions
66 Replies
872 Views
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi. 👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni. 👉Mkakati wa...
5 Reactions
39 Replies
899 Views
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
2 Reactions
13 Replies
61 Views
Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu. Naona Tu ni poor government imesababisha Mfano: Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana...
5 Reactions
26 Replies
352 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,987
Posts
49,790,652
Back
Top Bottom