Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
10 Reactions
26 Replies
404 Views
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
5 Reactions
22 Replies
200 Views
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
23 Reactions
112 Replies
3K Views
Kuna kitoto nilikiona hapa mtwara, siku moja kabla ya juzi nikakielewa sana ila sikufanya chochote kwa sababu siku hiyo wakati napita hapo nyumbani kwao na hicho kitoto, nilikuwa na kitoto...
4 Reactions
32 Replies
370 Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
14 Reactions
64 Replies
1K Views
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
3 Reactions
15 Replies
166 Views
Habari wakuu, Kama ulikuwa hujui basi jua sasa ya kuwa unavita ya kiroho. Vita hii uwe unaiona au auioni ila ipo inaendelea kwenye Ulimwengu wa Roho. Uwe unajua au hujui vita ya kiroho ni...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani . Hili ni la msingi sana tuweke...
1 Reactions
3 Replies
28 Views
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya. Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua Chemba za maji taka hapa jiji maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka. Mwanzo ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
13 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,065
Posts
49,792,486
Back
Top Bottom