Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haya ni mafuta au dawa na je kama dawa au mafuta ni lwaajili ya wanawake au na wanaume pía??????🤔🤫
0 Reactions
3 Replies
71 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
6 Reactions
55 Replies
599 Views
Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa...
12 Reactions
121 Replies
8K Views
Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume...
10 Reactions
65 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Pichani Madonna na mtoto wake Banda aliye mchukua kwenye kituo cha watoto yatima nchini Malawi Akiwa na miezi 13 sasa amekuwa kijana mkubwa
5 Reactions
24 Replies
753 Views
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
42 Reactions
151 Replies
6K Views
Wakuu nashindwa kuelewa ipi yenye nguvu milimani na ipi. Ina spid kuliko nyingine wakat zote ni 150?
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
13 Reactions
123 Replies
3K Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
24 Reactions
162 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,937
Posts
49,789,529
Back
Top Bottom