Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
NI ENEO LA BIASHARA LINAUZWA
✅️LINA FREM ZA MADUKA 12
✅️ LINA APARTMENTS 4 ZENYE CHUMBA
SELF NA SEBULE KILA MOJA
✅️LIPO KIBAHA MISUGUSUGU PWANI ✅️BEI YAKE NI MILIONI 90...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli...
Kitambulisho Cha kupigia kura kina changamoto kidoogo. Jina lilikosewa herufi Moja tu. Now Niko nafuatiria mafao yangu ya NSSF. Kukosewa huku Kwa jina kunaweza kuleta changamoto kubwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.