Habarini!
Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije...
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hello members
Eeh banaee Dunia inaenda kufunikwa na janga kubwa la Ushoga na usagaji
we need to pray a lot and ask God to save us from this disaster in our families because everywhere disaster...
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini
Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Hakika sikutegemea kabisa kanisa kubwa kama KKKT lingeendesha uchaguzi wake mkuu tena wa kumpata kiongozi mkuu wa kanisa ktk style ile ile ya katakata wagombea kama alivyofanya Ramis Magufuli...
Hello members
Habari hizi nikwa mujibu wa Hill Kuku wametangaza nafasi za kazi
Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender
Unahitaji ajira hizi fika oficini kwao mapinga...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.