Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Nimeshangaa siruhusiwi kureply wala kukoment chochote kwenye uzi
Muungano: VP na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize Kinyemela
Option ninayoruhusiwa ni ku- like tu,
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.