Habari za humu wanajamii,ni kwa muda sasa huwa ninamfatilia huyu mchungaju wa kkkt ushirika wa kijitonyama Mchungaji Kimaro,hadi kuna muda niliwahi kushawishika kwenda kanisani kwake.
Sasa katika...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Utaratibu wa polisi kutumia Jeshi la akiba almaarufu mgambo katika kukabiliana na matukio ya uhalifu ni suala linahotaji kuungwa mkono na Kila raia anayelitakia mema Taifa lake.Na hili halikwepeki...
Wachina ni wachapakazi sana,wabahili sana,wambea sana,wanapenda sana sigara lakini pia ni wezi sana.
Ukipata kazi kwa wachina ujue utafanya kazi kweli kweli,iwe ni kiwandani,barabarani au popote...
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Wanandugu tafadhali naombeni msaada wa kufahamu juu ya mada tajwa hapo juu, maana nimeona watu wengi wakijisifu kimafanikio kwa kuhusisha namba fulani ambazo wanadai wakiziona nyakati fulani...
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA.
Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.