Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Kanda ndugu MSIGWA ameanza kutoka vimanenomaneno na vyomba vya habari kuhusu kuhujumiwa.
WEWE MSIGWA CHADEMA WANAKUJUA kwamba WEWE ni kijana wa mwendazake...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Maitama Tuggar siku ya Jumapili aliwapongeza watu wa India na Waziri wa Mambo ya Nje S Jaishankar kwa "kuonyesha hadhi yao kama ngome ya kidemokrasia...
Aweso tunaomba harakisha kuleta mita za pre paid za maji kwenye mikoa yote hasa Mbeya, Arusha, Dar es salaam n.k.Kwani ubambikizaji wa Ankara kubwa za maji ni wa hali ya juu,wananchi wanateseka.
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.