Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
Kuna uzi humu ulikuwa unaongelea vitu vya zamani vyenye ubora ambavyo kwa sasa havipo.
Nakumbuka mmoja wa wachangiaji alikuwa ni Mshana Jr na moja ya bidhaa iliyolalamikiwa kuchakachuliwa ni...
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa...
Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya...
Ni hivi wakuu ,mimi kwa...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.