Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha
Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi...
Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu...
Embu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi
Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio...
Ulijiskiaje?
Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary.
Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja...
Habari wakuu,mimi ni fundi mwanafunzi japo ndo najiifunza umeme wa magari bado nipo garage , Pia ni dereva mzuri na leseni ninayo class ABD
kwahiyo kwa wakazi wa Dodoma anaye hitaji dereva wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.