Wakuu mko salama?
Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini
Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata...
Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu...
Hii picha imenichekesha sana ๐คฃ.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Nauliza tu kwa wale Wahenga wezangu nini ilikuwa nguvu ya Azimio la Arusha hadi viongozi wakaliogopa kweli kweli
Je, lilikuwa na nguvu kuliko Katiba ya Tanganyika/Muungano?
Nimekaa pale ๐ผ
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kitu kinachoitesa, kuiumiza, kuinyima usingizi ,kuinyong'onyesha na kuipa hofu Marekani kama kitendo cha kuona mbele ya macho yake ikiendelea kupoteza nguvu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.