Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management...
3 Reactions
21 Replies
199 Views
Habarini! Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
19 Reactions
48 Replies
1K Views
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
14 Reactions
41 Replies
635 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
33M Views
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Hivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
8 Reactions
33 Replies
939 Views
2 bedrooms Dining Kitchen Store/Utility Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio...
1 Reactions
1 Replies
33 Views
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
7 Reactions
30 Replies
201 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
21 Reactions
193 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,005
Posts
49,790,955
Back
Top Bottom