Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
18 Reactions
42 Replies
2K Views
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
12 Reactions
96 Replies
815 Views
Wadau natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: 1) Awe muislamu 2) Kazi sio lazima 3) Awe na upendo asije kujaribu awe serious tufunge ndoa 4) Asiwe na mtoto na pia asizid miaka 35 5)Awe mweupe Mimi...
6 Reactions
25 Replies
287 Views
Mimi nawaza mambo ya connection, yani kupeana mashavu / michongo ya maisha, wewe je?
1 Reactions
10 Replies
89 Views
Wasalaam, Dunia inaendelea kubadilika kila siku. Tunaona kuwa maneno yanapotea na badala yake namba na teknolojia ya kidijitali vinachukua nafasi kubwa. Tangu tunapozaliwa, tunapewa vyeti vyenye...
1 Reactions
11 Replies
39 Views
  • Suggestion
Utangulizi Elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote. Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha kwamba watoto wengi wanapata fursa ya kusoma, hasa katika ngazi za msingi na sekondari...
6 Reactions
22 Replies
228 Views
Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya...
1 Reactions
4 Replies
81 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
29 Reactions
1K Replies
40K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu, kuna baadhi ya wanaume wanakula vizuri hata kuliko familia zao. Katika pita zangu huku na kule huko...
96 Reactions
412 Replies
13K Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
21 Reactions
119 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,507
Posts
49,664,492
Back
Top Bottom