Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la...
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea...
Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye...
Hapa miaka ya karibuni kumeibuka upinzani mkubwa wa kisoka kati ya Azam na Yanga kiasi Kwamba derby ya watani imekuwa Haina mvuto kisa Simba kuonekana underdog but currently mzizima derby (Yanga...
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
Habari za muda huu JF members and staff members nina changamoto hii naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia hii PM(private message) mana kila mara nikijaribu kutumia huwa inafikia stage hii hapa katika...
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.