Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
Yanga ya Gamondi ime-dominate kwa 98% kwenye kila takwimu nzuri 23|24 🇹🇿
𝗟𝗶𝗴𝗶 𝗸𝘂𝘂 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗯𝗮𝗿𝗮
◉ Champions - Yanga SC 🏆
◉ Timu yenye kadi chache - Yanga SC
◉ Timu yenye on target nyingi -...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema kimsingi viongozi wanaomiliki timu za mpira wanatakatisha Fedha
Mnatakiwa mjiulize kuna nini huko kwenye mipira kama siyo kuyakatisha Fedha...
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani
Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza...
Wakuu habari za Leo.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume nimehitimu elimu ya diploma in record management , ninapatakana dar es salaam
Naomba kazi, kibarua cha aina...
Habari wana jamii forums [emoji1366]
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?
For...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.