Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
16 Reactions
58 Replies
994 Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
18 Reactions
678 Replies
12K Views
Salaam, Shalom!! Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada. Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa...
3 Reactions
16 Replies
107 Views
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama" Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
5 Reactions
51 Replies
531 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo utafiti mpya uliofanywa na Dr. Kat Bohannon (PhD) wa Columbia University nchini Marekani umebani kuwa mwanaume na viumbe wa jinsia ya kiume jamii ya mamalia...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo...
16 Reactions
70 Replies
1K Views
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
20 Reactions
304 Replies
20K Views
huyu dada anaemfahamu anijulishe MP contact zake tafadhari
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa? Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii...
9 Reactions
108 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,614
Posts
49,781,382
Back
Top Bottom