Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukweli unaendelea kudhihirika ya kwamba Mbinu ya uongozi anayotumia mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Makonda ndio the best way. Alizimewa na kupigwa majungu waliomfitini wanarudia kutenda mbinu zake...
6 Reactions
15 Replies
561 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
23 Reactions
136 Replies
3K Views
[emoji673]NIMEWAJAZA MAKOLO KWA BOB MARLEY WAKAJAA [emoji2788]“Milioni 350+ Gari la Milioni 70 Kwa Goli Moja .. Yaani Kamoko kwa Mwaka Mzima Bob Marley Kalamba Mkataba wa Maajabu, ”Huu Msimu...
3 Reactions
11 Replies
173 Views
je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia...
3 Reactions
16 Replies
230 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
38 Reactions
388 Replies
6K Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
2 Reactions
30 Replies
222 Views
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
148 Views
20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10...
7 Reactions
21 Replies
505 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
1 Reactions
82 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,396
Posts
49,773,947
Back
Top Bottom