Hello JF...
Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini.
Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu...
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.