Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
Usipoweka mipaka mwanamke wako hatokuheshimu. Na mwanamke asipokuheshimu hawezi kukupenda. Wengi wapo kwenye mahusiano yasiyo na mapenzi. Sababu mwanaume hana mipaka. Ukiwa na mipaka mwanamke...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka
Kila mtu mtu ukimuuliza...
Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji
Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.