Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
19 Reactions
111 Replies
3K Views
Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
1 Reactions
12 Replies
259 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
16 Reactions
97 Replies
2K Views
Wakuu wa AI Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
2 Reactions
21 Replies
311 Views
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
16 Reactions
61 Replies
993 Views
Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
0 Reactions
2 Replies
24 Views
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki. Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
6 Reactions
33 Replies
284 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
13 Reactions
103 Replies
1K Views
Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
3 Reactions
16 Replies
129 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,461
Posts
49,776,156
Back
Top Bottom