Utapia mloa ni changamoto kubwa sana Tanzania, na utapia mloa ni ukosefu wa virutubiaho muhimu mwilini hasa sana Protein. Utapia Mlo ni ugonjwa wa Aibu kubwa sana hivyo ni lazima tuchukue hatua...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Tanzania imeendelea kukumbwa na changamoto ya ukatili kwa makundi mbalimbali, watoto wakiwa ni miongoni mwa kundi hili. Kundi hili limekua likikumbwa na adha za ukatili wa jinsi, ndoa, mimba na...
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.
Wapo waumini wa kanisa moja...
Jf salaam.
Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia.
Kwahiyo kama...
Nabii ibrahimu aliitwa Baba wa Mataifa mengi ya wanaomcha Mungu.
Mungu alimuahidi kumbariki yeye na Uzao wake.
Alipata watoto wawili muhimu uzeeni kwake.
Ismail alikuwa wa kwanza na wa pekee...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
Wakuu hiyapa ndo orodha yangu ya wachezaji wa kikapu bora wa mda wote kwangu
Point guard
Stephen curry
John Stockton
Shooting guard
Michael Jordan
Kobe Bryant
Small forwards
Lebron...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.