Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji
Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji
Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki.
Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.