Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika...
2 Reactions
24 Replies
353 Views
Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo...
2 Reactions
7 Replies
119 Views
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza...
4 Reactions
18 Replies
279 Views
Wakuu, natumai hamjambo, Kwa upande wangu hali si shwar, ninaumwa hapa nilipo na ninaish mwenyewe. Aisee leo nimetamani ningekuwa nimeoa hakuna kitu nimefanya nimelala toka asubuh chumba...
5 Reactions
37 Replies
404 Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
7 Reactions
31 Replies
218 Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
6 Reactions
31 Replies
328 Views
Salaam Wakuu, Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti. Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu mambo ni vipi wapenzi wa kabumbu. Huyu Jamaa ni kama Bado anaubonda mwingi sana, kwanini asingeendelea kupiga mbungi??
5 Reactions
28 Replies
506 Views
Waziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu... Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA...
13 Reactions
19 Replies
427 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,506
Posts
49,777,546
Back
Top Bottom