Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
104 Reactions
675 Replies
23K Views
Inaelezwa kuwa Mradi mkubwa wa kuvuna gesi asilia wa Lindi LNG huenda ukaota mbawa na kuyeyuka kufuatia mkwamo Mpya uliosababishwa na milolongo ya majadiliano isiyoisha ambapo timu Mpya ya...
1 Reactions
13 Replies
14 Views
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
20 Reactions
54 Replies
269 Views
Tunapendelea kutafakari ajali ya adui wa Israel kuna mambo ya kutafakari bila kujali ni ajali ya kijiografia au jiografia inaweza kuwa mbeleko ya kutimizia malengo. Waamaleki waliwahi kuwaambush...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Tupo Kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko Dar-es-Salaam punguzo lipo. 0713520180
2 Reactions
203 Replies
7K Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
A
Anonymous
Suala hili kweli ni kero kubwa, sana Kwa watumishi, inafifiza moyo wa kufanya kazi, chanzo Cha magonjwa ya zinaa na UKIMWI, msongo wa mawazo, ukosefu wa furaha nk. Usitawi wa familia unaangania...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
... [emoji471] 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗣𝗜𝗢𝗡𝗦 [emoji91] Kabla Pep hajatua England wachambuzi wa England walikuwa wanaziponda ligi zingine kwa kuziita ni FARMER LEAGUE. Kwamba ligi hizo hazina ushindani kama ligi yao...
3 Reactions
11 Replies
174 Views
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia...
3 Reactions
9 Replies
20 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,402
Posts
49,661,821
Back
Top Bottom