Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM chama Dume amesema Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama jasiri na profesa wa Siasa Samia S.Hassan ndio awamu pekee Iliyoongoza kumwaga na kumimina mabilioni...
Nimeleta uzi huu MMU kwa sababu unaihusu jamii, hasa wanawake ambao kwa hili ni wahanga wakubwa.
Wiki iliyopita wote tulimsikia mheshimiwa kabisa akitoa tamko kuwa mtoto wa kike aliyeko shule...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili...
Vijana wa Tanzania ni wajanja sana na wanajitambua kuliko wale wa Africa Kusini tuliowasaidia kupata Uhuru
CCM liangalieni hili kwa umakini mkubwa
Mlale unono ๐๐
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
Pigano lililopangwa kati ya Mike Tyson na Jake Paul limeahirishwa.
Kucheleweshwa huku kunatokana na dharura ya kiafya iliyomhusisha Mike Tyson, ambapo alipata kichefuchefu na kizunguzungu wakati...
CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.