Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
19 Reactions
48 Replies
269 Views
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya...
16 Reactions
422 Replies
16K Views
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
13 Reactions
69 Replies
826 Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
13 Reactions
39 Replies
994 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
A
Anonymous
YAH: MALALAMIKO JUU YA TAASISI ZA MIKOPO MTANDAONI Kama mnavyojua changamoto zipo kwa Kila mtu hasa upatikanaji wa fedha pale unapokuwa umepata shida ya ghafla yenye uhitaji wa pesa au changamoto...
6 Reactions
82 Replies
12K Views
Naam ICC leo hii mchana imetangaza arrest warrant dhidi ya Netanyau na Waziri wake wa Ulinzi Galant. Unaweza kujionea tamko rasmi la kiongozi wa ICC.
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia...
1 Reactions
5 Replies
20 Views
Wakuu kwema Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea...
9 Reactions
101 Replies
4K Views
Wakuu mimi wa muda mrefu huku jf nilikuwaga na account yangu nikaipoteza, ombi langu kwenu ni naomba mwenye kibarua chochote anisaidie nipo mkoa wa arusha nina diploma ya accounting yenye G.P.A...
1 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,402
Posts
49,661,821
Back
Top Bottom