Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia...
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.
Nimekuwa...
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa...
Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.