Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata.
Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika...
Jf salaam.
Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa.
Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia.
Kwahiyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu
REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini...
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha...
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko.
Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.
Nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.