Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi ๐ Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
Ukinunua line unalipa mtandao unakatwa ushuru. Ukinunua vocha unakatwa, ukituma hela unakatwa, ukitoa hela unakatwa, ukinunua umeme unakatwa ya umeme na nyingine, tozo unakatwaโฆ..
unakatwa...
My Take
Ndio hivyo,Ukiwa na pesa unabembelezwa kama vile wachezaji wenye vipaji wanavyopembelezwa kuchezea Mataifa mbalimbali.
https://www.instagram.com/p/C7n_jZlo0U3/?igsh=MW9qc2Ntcm92MzJlaw==
Wanaume wa saivi kwanza wengi hawana pesa, wavivu wanapenda kulelewa wengine wanapenda mwanamke anayefanya kazi ili msaidie katika majukumu yake kitandani ndo kabisa bao moja chali kibao kimoja...
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.